aisee mimi kuna jamaa yangu yani kila nikikumbuka roho inauma. Alinililia shida mwezi, na kweli nilimwona ana shida na mke wake hadi anamkimbia jamaa alivyo lost. Si roho ya huruma nikamkopesha hela afanyie kazi.
Hehehe! jamaa hata simu hapokei au anakata. Dah angejua kuwa angepokea tu simu na kunieleza ukweli ningemuelewa lakini dharau anayonionyesha inaniuma roho sana. Ni rafiki yangu lakini ntakachomfanya naomba Mungu aniepushe!