Asilimia kubwa ya watu mijini ni matapeli

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,701
1,739
Imekuwa ni kawaida mtu wako wa karibu anakuja anakulilia shida umkopeshe hela. Ukishamkopesha harudishi na mawasiliano anakata bila kujali hela uliyomkopesha nawe una matumizi nayo. Acheni hii tabia siyo nzuri. Kama wewe umeshakumbana na adha hii tupe uzoefu wako.
 
Sikuhz ukilala tuu...!
nxt tym make sure dat he/she/they sign an affdavt form b4 encashing!
 
aisee mimi kuna jamaa yangu yani kila nikikumbuka roho inauma. Alinililia shida mwezi, na kweli nilimwona ana shida na mke wake hadi anamkimbia jamaa alivyo lost. Si roho ya huruma nikamkopesha hela afanyie kazi.
Hehehe! jamaa hata simu hapokei au anakata. Dah angejua kuwa angepokea tu simu na kunieleza ukweli ningemuelewa lakini dharau anayonionyesha inaniuma roho sana. Ni rafiki yangu lakini ntakachomfanya naomba Mungu aniepushe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom