Asilimia 98 hawamtaki JK


Ndugu utafitin uliofanya ni wawapiga kura au wasiopiga kura?Nahisi kama hiyo data ya wasio piga kura ambao hawana msaada wowote kwenye maendeleo ya nchi yetu.
 
Wewe utakua mkatoliki Tafiti imefanyika kwenu, Kanisani, ofisini kwa padri, chuo cha st......., hospitali ya Jimbo, hoteli nyuma ya kanisa , mnada wa harambee ya kuchangia usimikwaji wa ........, kwenye gari lililoingizwa bila kulipiwa ushuru eti ni la kituo cha kulelea yatima., benki ya deci na njiani kuelekea kanisani.

RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE




Unafaa ukafungiwe jiwe la kusagia na utupwe baharini kwa mawazo ya KIKABWERA
 

Tofautisha utafiti na umbea! Wewe sema watu wengi uliokutana nao wanasema hivyo! Lakini ukisema 98% bila kutupatia full analysis (sample number, type, etc), unaonekana kutuingiza mjini. Unaweza kuwa sahihi au la, kama unaita utafiti, pls follow the ethics of utafiti, la sivyo watu hawatakuamini kam ambavyo hawaamini SYNOVATE...
 

Acha udini rafiki. Kila jambo unalosema linamtazamo wa udini. Hivi hujui kuwa kuna watu wengi wameoleana dini tofauti? Hujui haya mambo ya udini ni laana? Mungu ni mmoja, Tanzania moja, mafisadi wanaotutafuna ni walewale, watu wetu ni walewale, makabila yetu yaleyale, misikiti na makanisa yamejengwa na udongo wa Tanzania hii hii, hebu ONDOENI mawazo ya udini hii inadhihirisha hata FORM 6 ya Yeboyebo HUJAFIKA? Kama hujafika, nakusihi usijihesabu GREAT THINKER, bali GREAT SINKER!
 


Haya ndio matokeo ya mbegu za chuki za kidini alizozipandikiza JK. Tutasikia mengi zaidi kutoka kwa watu wa aina hii.
 
RAISI WANGU NA WA WATANZANIA WOTE NI DK. KIKWETE

Mbona una wasemea watu mioyo yao!!!!! Umeanza vizuri Raisi wako ni .......... Kisha una malizia na watanzania wote..... Tafakari na uchukue hatua kabla ya kupost :rip:
 

Kikwete sio Rais wa watanzania wote kaka, Mimi simfahamu kuwa kikwete ni rais namuona kama ni muhuni fulani kwenye nchi yangu. Rais hachaguliwi na kura za wizi au wananchi hawalazimishwi kuongozwa na kiongozi wasiyemtaka. Kwani hata baraza lake la mawaziri sitolikubali kwa kuwa simkubali yeye mwenyewe. ALUTA CONTINUE WATANZANIA TUSIKUBALI KUSUKUMWA KITUMWA. Nchi ilimshinda 2005-2010 sasa anataka kututawala kimabavu kama Mugabe. :A S angry:
 

Ana ugonjwa wa USHABIKI!!!!! Dalili mojawapo ya ugonjwa wa namna hiyo ni kuropoka, kusifia upande mmoja na kuponda upande mwingine bila hoja. Ndio maana umeona ameingiza suala la dini mahali ambapo hapakuwa na uhusiano nalo hata kidogo. Kaibua neno Ukatoliki sijui kutoka wapi huyu mwendawazimu!!!!
 

:sad:Na wewe utakuwa Al Qaeda au Taliban maana unapenda sana kujadili mambo kiudini.
 
nani kasema huo utafiti utakuwa umeufanyia nyumbani kwenu , vijijini na sehemu nyingine watu wanamkubali kama kawa

Na Kwanini akubalike vijijini tu?
Huoni hiyo ni kasoro ?
 

Huyu jamaa uwa nazishangaa sana comments zake humu. Hivi yukoje huyu au ndio wale waliotumwa kufanya "motion neutralization" kwa faida ya mafisadi? Kazi unayo mwaka huu!!! Lakini amini usiamini ukweli ndio huo huyo Dr. wako hapendwi hata kiduchu!!!

Tiba
 

Mimi nikiona hoja za namna kama ya kwako huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Una elimu gani na umeipatia wapi?
2. Umekulia wapi?


Hoja yako inaonesha una udhaifu mkubwa katika maeneo hayo mawili; Elimu yako ni duni na mazingira uliyokulia hayajaweza kukusaidia kuelevuka!!!
 
Ndugu utafitin uliofanya ni wawapiga kura au wasiopiga kura?Nahisi kama hiyo data ya wasio piga kura ambao hawana msaada wowote kwenye maendeleo ya nchi yetu.
kwa sasa kila mtu anamsaada mkubwa kwani uchaguzi umekwisha sasa tunazungumzia raisi anaechukiwa!!
 

Naam mkuu....
JK ni rais wa NEC ya Makame na Kiravu na sio watanzania
Watz tulimchagua Slaa wao wakapingana na chaguo letu
 

Huo utafifi ulifanyia mkoa gani na wilaya ipi? Maana hata Karatu wanaomkubali Dr Slaa hawafiki watu 9 kwa kila watu 10.
 

Wewe unastahili upigwe ban kwa sababu aliyeanzisha thread hii hajagusia udini bali ni utafiti wake na hajataja eneo lake hata moja alikofanyia utafiti wake linaloonesha ni mdini na umeenda moja kwa moja ku-attack Ukatoliki why? Mod, please rules should apply to this gentleman - ban
 
udini umeingiaje hapa???

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…