Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Utafiti ulio fanywa unaonyesha kuwa Dar inaongoza kwa madereva ambao hawajui kabisa alama za barabarani. wengine hawajui hata Taa zinaelekeza nini .
Hii ni hatari sana hasa ukizingatia barabara kama morogoro Road imeongezewa alama kitu kinacho fanya madereva kuwa chanzo cha ajali nyingi hapa mjini.
Nadhani hii inatokana na madereva wengi kuto pitia shule na sijui walipataje lesseni.
Serikali iaandae program za jinsi ya kupita barabarani na alama zake hasa kwa morogoro road maeneo ambayo yana alama na mataa.
la sivyo tutauwawa wengi tusio na hatia