Asilimia 15 ya Watanzania ndio wanapata nishati ya umeme

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
gesi tanzania.jpg

ASILIMIA 15 ya Watanzania ndio wanaopata nishati ya umeme, kiwango ambacho hakitoshelezi na hakiendani na kasi ya maendeleo inayotarajiwa, FikraPevu inaripoti.

Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Dunia za mwaka 2011, umeme kidogo unaopatikana hautoshelezi mahitaji ya taifa kwa ujumla.

Idadi hiyo ni ndogo ukilinganisha na nchi jirani za Kenya na Msumbiji ambapo kwa mwaka huo huo...

Kwa habari zaidi, soma => Asilimia 15 ya Watanzania wanapata nishati ya umeme | Fikra Pevu
 
Japo hizo takwimu ni za muda kidogo,lakini hata hizi takwimu za sasa bado tupo nyuma sana na kasi ya dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom