Asili ya wazungu na wengineo hii hapa

Sijaelewa, theluji na uzungu? Nywele nyeupe na zile za blonde zinalinganaje?

Nlikuwa nawaza, ngozi ya wazungu wengi si ni kama ya mboga pendwa?
 
Bible Ina utata sana Kwa Baadhi ya vipengere... Mfano Samaki waliwezaje kuvumilia ndani ya Safina ya Nuhu Kwa siku arobaini bila maji.
 
Mbona hujasema umenukuu wapi? Kitabu gani fungu gani aya gani?. Ni porojo tupu
 
Bible Ina utata sana Kwa Baadhi ya vipengere... Mfano Samaki waliwezaje kuvumilia ndani ya Safina ya Nuhu Kwa siku arobaini bila maji.
Kweli ina utata mwingi ila ishu ya samaki umepuyanga mkuu.. Aliiangamiza dunia kwa maji so samaki hawajawahi dhurika na maji
 
Kwa hiyo wazungu ni majini wa Yanga futibol clube.
Si vizuri kuleta utani wa namna hii tena wa kuhusisha binadamu wenzako na timu ya Yanga.

By the way, ulitaka kusemaje? Yanga ndiyo majini yenyewe? Au majini ndiyo Yanga yenyewe?
 
Kweli ina utata mwingi ila ishu ya samaki umepuyanga mkuu.. Aliiangamiza dunia kwa maji so samaki hawajawahi dhurika na maji
Sasa wanyama wote si waliingia kwenye Safina ya Nuhu na samaki wakiwemo au wengine walibaki nje..
 
Watu wenye asili tofauti na waafrika wenye nywele ngumu ni matokeo ya mwingiliano ya malaika na wana wa wanadamu.

View attachment 2903269View attachment 2903270View attachment 2903273

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…