Asili ya viongozi wa ccm taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asili ya viongozi wa ccm taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Manyanza, Feb 2, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jana nilikuwa ofisini kwangu, mara akaja mzee mmoja maarufu sana na alishawahi kugombea ubunge jimboni kwake akapigwa chini… typically huyu mzee ni mwanachama mtiifu wa CCM, nisiendelee sana kumuongelea kwa undani.. mara akaja na propaganda zake juu ya tamko la CHADEMA kwanini hawashirikiani na CUF akatoa mawazo yake mengi yenye kulaumu, kubeza na kuuponda uongozi wa CDM, na akapigilia msumari akasema CHADEMA kuna UDINI, UKANDA,UKABILA..
  Nilichomwambia, “ hata siku moja CHADEMA hawezi kuiga kelele kuuzungumzia udini kwa sababu hapa Tanzania udini hakuna ila ni ajenda ya Viongozi wa CCM kueneza suala la udini, na kila mara wanamtaka rais Kikwete aache kutumia udini kama ajenda ya kuwavuruga wananchi na kuficha udhaifu wa utendaji wa serikali yake (nilimnukuu Dr Slaa-juzi). Hapo akonekana kutulia kidogo.
  Kuhusu Ukanda nikamuuliza kwa nini unasema CHADEMA kuna ukanda, akasema uongozi wa CDM wote unatokea pande za kaskazini, ndio maana ni wabinafsi hawataki kuungana na CUF na mambo mengine kadha wa kadha”nikamwambia vipi mbona unaionea huruma sana CUF? nyie simmeshakua kitu kimoja na mnauunda serikali ya umoja wa kitaifa? Akaaendelea na propaganda zake ambazo siwezi kuziandika zota hapa…
  Nikampa proof ifuatayo kati ya uongozi wa CHADEMA NA CCM
  CCM
  Ø Mwenyekiti- anatoka Chalinze msoga (Pwani)
  Ø Katibu mkuu- anatoka Tanga Bumbuli ( asili yake ni pwani)
  Ø Makamu mwenyekiti- Zanzibar (Pwani)
  Ø Makamu mwenyekiti bara- Visiwa vya ukerewe (ni pwani ingawa hakuna Bahari)
  Ø Naibu katibu- Zanzibar (visiwani) Pwani
  Ø Naibu katibu- (bara)- Newala ni pwani

  CHADEMA
  Ø Mwenyekiti- Moshi
  Ø Katibu mkuu- Arusha
  Ø Makamu mwenyekiti (bara)- Mpanda mkoa wa Rukwa
  Ø Makamu mwenyekiti (zanzibar)- Pwani
  Ø Naibu katibu mkuu(bara)- Kigoma
  Ø Naibu katibu mkuu(Zanzibar)-pwani
  Nikamwambia hapa unaweza ukaona jinsi CCM ambavyo inaendeshwa na watu wa pwani, ambapo ukanda unajionyeha live bila kificho wala zengw, na nikamwambia kila wakati tumekua tukiongea na kujadili sifa za watu wa hapa Zanzibar walivyo ambao sifa zao zinajulikana;(inawa sio wote lakini hii inawa reflect nyinyi wote) sifa zao kuu ni uropokaji, majungu, kushinda kwenye vijiwe vya kahawa, kuongea vitu wasivyokua na uhakika navyo,n.k ( unaweza ukaoongezea kama unazijua sifa za watu wa Pwani), kwa (utani nikamwambia) wewe mwenyewe hapa ni mtu wa Pwani ( jamaa ni mzanzibar) kwa hiyo sikushangai kuanza kuongelea mambo ya CHADEMA wakati ya CCM yapo mengi na nikaongezea nikamwambia kwamba CDM ina watu ambao ni vichwa ambao hawakai kwenye ofisi za CHADEMA kufanya kazi za chama wao wanafanya kazi zao popote walipo nikampa mifano ya kina MWIGAMBA, DR MKUMBO, RASTO TUMBO, …….
  Alichokifanya huyu mzee ni kujifanya anapiga simu akaishia zake…
  Hivi wana JF mnaionaje system ya uongozi wa CCM? Viongozi kutoka ukanda wa Pwani tu
  Note: nimepost thread hii kwa sio lengo la kuwadharau na kuwatukana watu wa pwani naomba nieleweke..
   
Loading...