Asili ya lugha za kibantu ni wapi?

Asili ya lugha za kibantu ni wapi?

G 4real

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
454
Reaction score
212
Ndugu wanaisimu wa lugha.

Kama ambavyo tujuavyo kuwa kiswahili asili yake ni kibantu kwa kuona uthibitisho wake kisayansi na kihistoria.

Je,hawa wabantu asili yao ni wapi?

Nawasilisha.
 
Wabantu asili yao ni kusini mwa jangwa la sahara na kimsingi lugha zao hufanana kimaumbo,msamiati,matamshi na hata miundo ya lugha zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom