Asili-t formula 8 herbal immune booster medicinal & nutrisional herbs

Asili-t formula 8 herbal immune booster medicinal & nutrisional herbs

kiroroma2630

Senior Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
150
Reaction score
34
Inatibu na kudhibiti magonjwa mengi kama vile:
Presha-shinikizo la damu na magonjwa ya moyo.
Kisukari(aina zote)
Kuongeza na kulinda chembe za kinga mwilini.
Kukosa choo-matatizo ya mfumo wa chakula.
Vidonda na utando mdomoni.
Homa za mara kwa mara.
 
Sasa ndo nini, hujasema inauzwa wapi na ni sh ngapi
 
15,000 tsh tupo magomeni kagera kituo cha oil com karibu sana utajua na zingine zaidi na zaidi.
 
Vidonda vya aina gan na imedhibitshwa na tbs au?

yule wa vidonda vya tumbo ubungo plaza amewaponya mwisho wanakuja kujua ajapita ata chuo cha muhimbili

kunywa kwa imani mama ukishaona herb..means imani yako yakuponya
 
Inatibu na kudhibiti magonjwa mengi kama vile:
Presha-shinikizo la damu na magonjwa ya moyo.
Kisukari(aina zote)
Kuongeza na kulinda chembe za kinga mwilini.
Kukosa choo-matatizo ya mfumo wa chakula.
Vidonda na utando mdomoni.
Homa za mara kwa mara.

nihakikishie azipunguzi nguvu za kiume mkuu niko radhi kukutangazia huku ofisini
 
Nimesajiliwa na wizara ya afya kupitia baraza la tiba asili na tiba mmbadala
 
Hazina madhara mkuu ni sawa na wewe unavokula mboga za majani
 
Back
Top Bottom