Asiesikia la mkuu...

Mkonga100

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
660
494
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mkuu kila hutuba yake aliomba watanzania tumuombee nafikiri alijua hali yake sio mzuri hawezi yeye bila nguvu za mungu lakini baadhi yetu hatukufanya hivyo leo weya nyekundu na ile nyeusi simegusana basi loooo baba
66be559f83d6161729a8c64129d665ee.jpg
bure huyu
 
Unawadanganya wana JF na kichwa cha mada yako wakati Maelezo yako ni tofauti kabisa.

Nadhani Leo huna cha kufanya hapo ulipo na Magufuli ameku winne lakini unamtafutie tu ujumbe ambaye basi umkere tu ndiyo raha yako.

Kwa mtindo huo usitegee mwano na wajukuu zako watakuja kuishi ktk nchi nzuri kama unaishi Tanzania.

Lazima tuijenge hii nchi kwa umoja wetu na tupendane sisi kwa sisi na kuwapenda viongozi wetu na la msingi kufuata sheria na taratibu za nchi
 
Back
Top Bottom