Tukiachana na mambo mengine kwa mliobahatika kuwaangalia watia nia watatu wa jana kama ni kujudge nani anayejua kujieleza basi mwanamama yule kawashinda wote,kwanza ametulia anajua kuyapangilia maneno na ushawishi wa hali ya juu kwamba hata kama mwanzo mtu ulikuwa humuwazii kwa lolote na wazi kwamba anaweza kubadili fikra zako,kweli mama unafaa na nimeamini ana uwezo mkubwa sana si ajabu ndo mana anateuliwa kwa nyadhifa kubwa kubwa zamani nilikuwa najiuliza what is extra or what is special for her,but now i know.....may God give chance to this INCREDIBLE WOMAN WE HAVE IN TANZANIA TO BE OUR LEADER....AMEN.
Talking the talk is not similar as running the talk.

Lowasa hajawahi kuwa na hata tone ya shida na magufuri. Fuatilianimeambiwa ili kuharibu upepo wale wote waliokuwa mashabiki wa EL wameelekezwa kupiga kura kwa akina mama tu na si kwa pombe. we subiri mtaona.
Hatuhitaji wapiga porojo tena ikulu,zama zao zishapita.Acha wachapa kazi wakafanye kazi,naona zama za Mkapa zikirudi tena.sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Yeah she can talk the talk of course....but unfortunately we need a man of action, a person who-can walk-the walk. That's where Dr Magufuli trounce Dr Migiro. Dr Magufuli has a proven record under his belt, what does Dr Migiro has to prove herself to us?serving UN as a deputy Secretary?That's not enough!
Huko UN ameacha legacy gani as a first black woman to hold the highest post?I bet she left nothing other than just holding the post.Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
Yeah she can talk the talk of course....but unfortunately we need a man of action, a person who-can walk-the walk. That's where Dr Magufuli trounce Dr Migiro. Dr Magufuli has a proven record under his belt, what does Dr Migiro has to prove herself to us?serving UN as a deputy Secretary?That's not enough!
Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
Huko UN ameacha legacy gani as a first black woman to hold the highest post?I bet she left nothing other than just holding the post.
Mkuu ni "fired" deputy General Sectretary of UN coz she was useless....really useless!
Mweupe sana kwenye uongozi kwa vitendo!...Nashangaa mijitu inaona mtu kuongea vizuri ndio mtendaji plus ilishadhibitika hana utendaji wowote,useless meat-head!