Hivi kwa nini masupa star wa bongo wakiugua wanakuwa omba omba?? Je wanatanua sana na kusahau kujiwekea akiba ya wakati wa majanga? Au ndo usanii wa bongo haulipi?? I wonder bongo muvi kude, bongo fleva balaa, taarabu majanga, dansi kumbe wauza sura tu mfukoni hakuna kitu. Nawashauri wasanii wote tajwa hapo juu wajiunge wakiangukie NHIF, au AAR au insurance company yoyote iwadhamini, wao wachangie kidogo kila mwezi na iyo insurance company iwe inagharamia matibabu yao. Ni hayo tu