Asenga Abubakar wa CCM alikoroga ITV

Yuko na muuzaji na unga na akina riz na lukosi, wote majanga na aibu itawafunika daima, ukweli jana nimemcheki kwenye kipima joto cha itv ila ni ovyo nonsense.
 
Huyu mtoto ni panya yaani kichwa cha samaki tu mbaya zaidi mpika majanga kichwa cha panzi mpayuka ovyo.Toto ovyoooooo kichoko!!!
 
Kwa kweli nimesoma yote, hamna cha maana alichokisema zaidi kujitapata sehemu isiyokuwa na maji, kanuni anazitaja kufafanua ipasavyo hawez zaidi anafafanua uhongo mtupu.
 
Mleta maada huna unachojua kwanza sote tulimsikia asenga wewe unataka kutupotosha umetumwa,
 
Ahsante sana Asenga naona umewashika pabaya, kama umewakaza kwa plaizi basi bana kabisa mpaka wapige Mayowe.
 
Alianza kuropoka ujinga eti Chadema imepewa hela na mataifa ya nje kuvuruga amani.Mtangazaji ITV akamnyanganya mic kwamba katoka nje ya mada.
 

ukiwa mzee utakuwa mchawi
 
Kijana mweupe kichwani mithili ya theluji..

Ukiona kijana kama Assenga anasupport CCM ujue nyuma yake kuna utata Mkubwa sana
1.Assenga Anaweza kuwa ni wa book 7 za Lumumba
2.Assenga anaweza kuwa ni mmoja kati ya vijana walooahidiwa kugombea ubunge kwa tiketi ya magamba
3.Anaweza kuwa anajipendekeza ukifika ateuliwe kuwa mkuu wa wilaya
4.Anaweza kuwa anajihusisha na biashara hatari ya haramu that why amejivalisha gamba ili asibainike
 
Mtoto wa mkulu huyo,yani mdogo wake na Ridhwani ndio maana akili zao zinafanana(wote magamba)
 
Ama kwa hakika asenga aliongea hoja sana siku ile itv
na ukeli mtupu
alichosema nikuwa may kwa maan naibu spika kanuni haikumlazimisha lazima asitishe shughuli za bunge bali kama alivyofanya kusitisha
songa mbele asenga tunakuelewa
 
Ama kwa hakika asenga aliongea hoja sana siku ile itv
na ukeli mtupu
alichosema nikuwa may kwa maan naibu spika kanuni haikumlazimisha lazima asitishe shughuli za bunge bali kama alivyofanya kusitisha
songa mbele asenga tunakuelewa

Asenga si utumie ID yako ya kila siku? Hii ID haifanani na wewe
 
...ndo nani huyo anayetia aibu kiasi hiki,magamba bhana..?
 
huyu si ndiyo alisema Jk asiposaini rasimu patachimbika ? Tunasubiri pachimbike , poor asenga !
 
uyu dogo ni kituko kingine ndan ya uvccm......
 
Haswaa, barabara. Very Genuine. Huo ndio ukweli wenyewe.

Like father like son

Asenga wa Pakaya = Kilombero Yetu= Asenga Abubakar kabla ya yote atuambie nini kilimfanya akasilimu????? au ndo masharti baada ya kumjua baba yake????

Nop hyu paternity yake haipo na mzee wa fast jet ni mchagga wa huko kwetu
reasons za kuslimu kwake anajua mwenywe ila alikua bado hajaanza huu mchezo wake mchafu wa ccm by that time alisoma shule ya matangini islamic ipo kimara
 
mwanaume yoyote mweupe namna hii huwa anamatatizo ....chunguza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…