Asemavyo Mkapa Kupitia BBC

Mkapa Kuna wakati huwa anacfiwa hapa!
Ila ujinga wa Ikulu utamchafua daima
 
Hii nchi ni bola iuzwe tugawane kila mtu achukue chake,anayetaka kubaki awe mtumwa abaki , anayetake akawekeze nchi nyingie poa, maana kila kukicha hakuishi vituko.
 

Anafikiri watanzania wameshamsahau?


US embassy cables: BAE's 'dirty deal' to sell radar to Tanzania revealed

Tuesday, 24 July 2007, 14:06
C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 001037
SIPDIS
SIPDIS
AF/E FOR B YODER AND D MALAC
MCC FOR G BREVNOV AND M KAVANAGH
EO 12958 DECL: 07/23/2012
TAGS PREL, PGOV, ECON, EAID, KMCA, PINR, TZ
SUBJECT: BIG FISH STILL RISKY CATCH IN TANZANIA
REF: A. A. DAR ES SALAAM 1009 B. B. DAR ES SALAAM 00085
Classified By: D. Purnell Delly, Deputy Chief of Mission, for reasons 1 .4(b and d).
1. (C) SUMMARY. Tanzania's Prevention of Corruption Bureau (PCB) has never successfully prosecuted a high-level
corruption case involving either the private or public sector. On July 14, the Director General of the PCB, Edward Hoseah, assured the DCM that the PCB was now prepared to prosecute a milestone corruption case: the U.K.-Tanzanian BAE radar deal. Beyond plans to prosecute the BAE case, Hoseah painted a mixed picture regarding the Government of Tanzania's (GOT's) progress toward addressing the country's endemic corruption problem. On one hand, Hoseah highlighted recent legal reforms and the increasing willingness of both Parliament and press to level corruption charges against the government. On the other hand, he noted the unabated corruption in Zanzibar, weak capacity of his bureau, and President Kikwete's reluctance to implicate former President Benjamin Mkapa or members of Mkapa's inner circle in corruption scandals. Finally, Hoseah reiterated deep concern about his personal safety, explaining that he frequently received threatening letters. In the event of increasing threats to his life, Hoseah said he would not hesitate to seek refuge in another country. END SUMMARY.
PCB: Ready to Prosecute the BAE Radar Deal
 
Mkapa ni kama nguo chakavu,hana issue BBC walikosa kabisa mtu wa kumhoji hadi wakaamua kumhoji Fisadi walitegemea atasapoti upinzani?????lazima asifie chama kilichomlea hadi ameondoka ikulu akiwa ana kampuni wewe uliona wapi hiyo????kama ingewezekana Nyerere afufuke leo huyu atakimbia hadi afe,alinadiwa kwa kuambiwa yeye ni mr clear kaondoka ikulu akiwa mchafu na aibu tupu anapata wapi ujasiri wa kuvisema vyama vya siasa nje ya ccm.
 

yani jina lako kwa kihaya ni mkwaju..!banza ojajure mkapa. Kwanza wanauita mkapa mzee wanakosea.mzee ni mtu mhadirifu,mwenye staha,heshima nk. Ndo maana sehemu nyingne ata uwe mtu mzima ukifamble hakuna atakaekuita mzee. Huyu ni mwizi tu.
 
Huyu ni mchumia tumbo,hafahamu kuwa dunia ya leo haihitaji siasa uchwara na za kibabe.Asamehewe kwasababu ya umri wake.
 
lazima atetee katiba mbovu maana anajua katiba mpya itakua kitanzi kwake. Kwani kilicho mkuta chiluba hakijui? Lakini waache warukeruke muda ukifika hiyo katiba mbovu ndiyo kitanzi chao.Kumbuka hata zambia watawala walikuwa wanapiga chenga kuhusu katiba.Lakini upepo wa nguvu ya umma ukavuma,sote tunajua kinachoendelea zambia.Ila wakifanya kichwa ngumu tutawaonyesha nini maana ya nguvu ya umma .
 

Vijana wenyewe kama ndio akina Ngereja, Nape, Malima, Masha and the like basi bora waendelee wazee tuu
 
kashaanza kuweweseka na midhambi aliyofanya. ngoja tu lazima ataionja joto ya jiwe maana wanajua upinzani ukishinda wao wanakesi nyigi za kuzima. Anayepiga kura si yeye bwana ni watanzania. Na kusema kwamba upinzani hauwezi kushinda wakati wanaiba kura na kwenye kampani wanaongozana NEC nzima nadhani lile gamba lake ni gumu kama la kobe. Hivi hawajamvua tu gamba huyu mzee?

Naye ameshaanza kupoteza heshima yake kwa watzanznia bila kujuwa kama alivyofanya mwenzake six. Ukianza kuusema upinzani vibaya wakati huu unatafuta kuchukiwa tu ndo maana wanamzomeaga kila anakokwenda hiloooooo
 
nimemsikia pia. Naheshimu sana mchango wake kwa nchi hii maana aliwezesha hataa sehemu watu walikuwa wamekata tamaa wakazinduka!
Lakini sisi sio malaika, baadae alichafuka! Sasa anajua fika kuwa ikija serikari nyingine nje na 'mitandao' yao waliyojijengea itakuwa ngumu kwake na anajua katiba mpya na hasa iliyokamilika lazima imsulubu tu!
Nashauri badala ya viongozi (hasa wastaafu kama Mkapa) kukalia porojo na unafiki, ingeundwa tume ya maridhiano ili kama wana nia ya kweli wajisafishe then twende mbele badala ya kung'ang'ania vitu visivyo na tija na manufaa yoyote kwa taifa hili masikini
 


Kwanza Mzee Nkapa alishinda mara moja tu , mwaka 1995 alibwagwa na Mhehimiwa Mrema lakini NEC wakachakachua alipata ushindi kuptia katiba mboyo iliyokataza kuoji uhalali wa kura za rais akiwepo mapungufu, kwastail hii ni kama enzi zakupigia giza
 
Hivi BBC walikosa mtu wa kuhojiana nae mpaka wakaamua kumhoji huyo babu?kuna watu wengi wa kuwahoji wenye timam sio wezi kama Makapa.
 

kweli kabisa, huyu mzee anakera sana! Na akae kimya. Anafikiri watz wa leo ni wale wa enzi zao!
 
Mtu aliyehalalisha rushwa ya mahindi Igunga mbele ya hadhara na vyombo vya dola,hatutegemei asema cha maana.
 
Hivi alishatupa faida ya kufanya biashara ktk ikulu yetu?alisharudisha kiwira?alishatuomba radhi kwa kutuambia tuna wivu wa kike?anatuambiaje kuhusu radar na chenji imerudishwa?tumeshakula nyasi na ndege ya raisi imenunuliwa je inaleta mapato kwa kuwa tuliambiwa itakodishwa!huyu mzee akae kimya tu aache kutudhihaki
 
Mkapa naona amevimba kichwa watu wanaposema heri ya enzi za Mkapa. Ni dhahiri anaanza kujisahau, inafaa tumgeuzie kibao sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…