Asee Gwajima ana karama, angalia startv

Asee Gwajima ana karama, angalia startv

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Hebu Mungu atubariki tuangalie Startv kipindi cha Gwajima anaongelea mambo muhimu ambayo hatuyafahamu.
Mmbarikiwe
 
wewe mwenyewe tu ndo huyafahamu. umeshatuma hela kiasi gn kwenye mpesa, tigopesa n.k au huoni hizo namba chini ya screen inapita? kuna jipya gani, ni tapeli tu kama matepeli wengine.
 
Remote ipo Meza ya pili siwezi kuinuka kuifuata Labda uje unisogezee otherwise wacha niendelee kuanagalia channel ten maana Kuna msanii mwingine na huku pia.
Hahahahahahaha nimecheka kwa sauti aisee
 
wana msemo wao ukitoa zaid unabarikiwa zaidi......
 
Remote ipo Meza ya pili siwezi kuinuka kuifuata Labda uje unisogezee otherwise wacha niendelee kuanagalia channel ten maana Kuna msanii mwingine na huku pia.
Huyu bwana ananifurahishaga sana na staili yake ya kupokea sadaka lazima akupe tano
 
Weka Muda hicho kipindi kina kuwa hewani kuanzia saa ngapi, unaleta taarifa incomplete. Unadhani tupo jf 24 hours.
 
Gwajima ni tapeli ila kwa wale wanaomuamini kama mtoa nyuzi anaona gwajima kama masia Mdogo anajua kuzichanga za wajinga
 
Back
Top Bottom