Mkuu tunaomba source. nilipita sehemu sehemu nikasikia watu wanalalamika kuhusu kituo cha mabasi miomboni, ila sikujua kama jamaa kanunua!!
Kama kweli Ile sehemu ilikua ni kiwanja cha mtu binafsi iweje Serikali ijenge Stendi pale?
Huu ni uvumi. Habari hizi ni za uwongo na hakuna kitu kama hicho. J'3 Mayor alikanusha vikali habari hii na kusema kwamba hizi ni mbinu za baadhi ya watu kutaka kuwachonganishawananchi na serikali yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.