Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,065
- 285,686
Hivi kuna uwezekano wowote wa kumburuza mahakamani mbunge aliyechelewesha maendeleo ya wananchi ? Tunaomba ufafanuzi wa wanasheria .Kyela wanajitambua vizuri sana. ccm OUT, MWAKIWEMBE OUT!!
je alieleza kwanini alitimuliwa na mawe ipinda ?nimemuona Mwakyembe star tv, anasema kyela atashinda kwa kishindo hata asipopiga kampeni
Po amukuja bakonyofu ulwa lino , kwani wewe unapiga kura ngapi mkuu ? Mlipewa nafasi mmeichezea msimlaumu mtu .Kwani wewe ndie tume,Mwakie atawapa mshangao wa mwaka,tukaja bakonyofu
Aisee hilo Ni Tusi Kubwa San Kwa Wanakyela.nimemuona Mwakyembe star tv, anasema kyela atashinda kwa kishindo hata asipopiga kampeni
usiogope mabadiliko ; mwanyamaki ameahidi kuondoa vumbi mjini , kichocho na kipindupindu kyela .Jamani kura hazipigwi kwa social media.
Ntakuja kutafutana apa matokeo yakitokea
Na mm nimemsikiliza Mwakyembe asubuhi startv. Akatamba kuwa amejenga shule za A level tatu, amejenga madaraja sijui wapi wapi huko, n.k.
Sasa akadai ushindi wa ubunge Kyela upo nje nje. Wanakyela tuambieni ukweli, huyu jamaa ni atashinda?????
Hivi bado kuna mtu anamwamini huyu jamaa kweli ?
Sijui nitumie lugha gani inayoweza kutosha kuitumia kutoa shukrani kwenu, hakika Mungu atawalipa, kwa ufupi itoshe tu kusema asante, shukrani pia ziwaendee viongozi wote wa CHADEMA Kyela, wana UKAWA wote wa Kyela kwa kazi kubwa ya kueneza mabadiliko na kuhakikisha CCM na makandokando yake vinakataliwa Kyela, mmetuahidi ubunge, Urais na kama haitoshi mmetuongeza na udiwani, hakika Mungu atawalipa.
Atafundisha nini wakati kile kilichompa PhD amekikataa ? Rejea bunge maalum la katiba .Ndg ya Mwakyembe arudi kufundisha. Lowassa amewaahidi wahadhiri mishahara bora
Tutashinda na tutahakikisha Kyela fm inafunguliwa .Tunategemea ushindi toka wana kyela.