Usingetegemea maeneo km Ulanga, wilaya yenye miundo mbinu mibovu, shuleni hakuna, hospital hakuna halafu waje wachague upinzani, wanachagua CCM kwa sababu ya ujinga wao!
Arusha lema anauhakika Wa kura laki mbili na tutachukua viti maalum viwili makamanda msihofu ccm tumeshaimaliza Arusha hizo ni kelele tumeacha diwani mmoja Wa kuwafundisha nini tunafanya
Usingetegemea maeneo km Ulanga, wilaya yenye miundo mbinu mibovu, shuleni hakuna, hospital hakuna halafu waje wachague upinzani, wanachagua CCM kwa sababu ya ujinga wao!
Kuna wasiwasi Arusha watu wakampa kura Monabani lakini wanaichukia CCM, na wakamyima Lema lakini wanaipenda Chadema. ( Najua hamjanielewa). ( Du hata na mimi sielewi)