DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
ASANTENI SANA WANANCHI KWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI YA NCHI , HUU SIO USHINDI WA MTU MMOJA NI USHINDI WA TAIFA.
Hii nchi yetu ni, nikama FAMILIA changa ambayo inapambana dhidi ya UMASIKINI kwahiyo endapo baba akiwa anagombana na mama na watoto wanagombana wao kwa wao basi hakuna maendeleo yoyote yanayoweza kupatikana ndani ya hiyo FAMILIA.
Nchi ipo bado katika vita ya umasikini ,ambayo vita hii inahitaji , umoja na mshikano wa kitaifa , uzalendo , Amani na haki kutamalaki , Adui yetu ni UMASIKINI na sio sisi kwa sisi lazima SILAHA zote tuzielekeze sehemu husika ili kuifikia TANZANIA TUITAKAYO.
Na VITA hii sio ya MTU mmoja ila ni ya TAIFA zima kuhakikisha tunalinda kile tulichobarikiwa , Maliasili zetu , miundombinu na usalama wa nchi kwa ujumla. na sio kukaa na kuamini kuwa tuna MJOMBA au SHANGAZI nje ya NCHI ambaye atakuja kutusaidia baada ya sisi kuharibu kile tulichobarikiwa.au kuharibu Amani yetu na mshikamano wetu.
Nyinyi kama VIJANA na ambao ndo mtapokea mikoba ya UONGOZI siku za mbele , mnao wajibu wakukumbushana kuilinda TANZANIA , kuipambania TANZANIA na kuipenda TANZANIA.
KIJANA WEWE NDO NCHI NA NCHI NDO WEWE MAISHA YAKO YANA THAMANI SANA YALINDE , NA LINDA NCHI YAKO.
N.B IT IS NOT A CHOICE BUT A RESPONSIBILITY FOR THE ADULT MINDS OF TODAY TO IMPART WISDOM AND KNOWLEGE TO THE YOUNG MINDS THAT WILL CONTROL TOMORROW TO IGNORE THIS RESPONSIBILITY IS TO THROW AWAY ANY OF DECENT FUTURE FOR ANY OF US
KATAA MAANDAMANO❌ , OKOA MAISHA YAKO✅