Asanteni sana wana JamiiForums

Karibu sana....nisaidie na mimi link ya hiyo thread aisee

Kwanza inabidi ufungue account mspy itakayokuweza kupata taarifa zote za mlengwa
Pili inalipiwa $39.99 monthly
ukitaka primium pia ipo hiyo unapata mpaka text za whatsapp na blog alizotembelea na pics alizopiga,locations,nk
Ukishafungua account watakupa code namba utakazoingiza kwenye target device ukishadownload mspy
Mambo yote yanakuwa swari.
 
kamata mwizi.....
kama mimi ningechukua adi simu niliomnunulia....pumbafuuuu
 

Du! kila kitu money... hata kumshika anayekucheat! takriban elfu 66 uwiiiiiii
 
Hongeraa sana mkuu kwa kunasaa ukwel... iv naomba kuulizaa hyo mspy ni lazima na ww uwe nayo kwa simu yako???
 
pole ila hujamkomoa maana wengine watajipigia saaana
 
Hongeraa sana mkuu kwa kunasaa ukwel... iv naomba kuulizaa hyo mspy ni lazima na ww uwe nayo kwa simu yako???

Hapana mkuu wewe unatakiwa kufungua tu account mspy utakakopata taarifa zake
 
Safi...Hakuna haja ya kuendelea na mahusiano na mtu asiyejitambua.!
 
hawezi kudumu kwenye uhusiano na mwanamke yeyote duniani kwa njia hii ya kukagua cm ya mwanamke
 
Hongera...ila umeingia gharama ya kumnunulia simu mpya bila sababu...
Kitendo cha ku save jina lako kama mwanamke ina maana ana mtu...tena wewe si mwenye mali bali mchepuko ndio maana jina lako limegeuka kuwa Ke ghafla...

Lakini umeenda mbali kununua software pamoja na simu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…