Asanteni sana Wabunge wa CCM!


Mkuu Petro,

Imekuwa ni vema wanayafanya hayo walau umma wa watanzania nao ukifuatilia kinachoendelea na kutambua rasmi sasa ni nani aliye bungeni kwa masilahi ya wananchi au ni nani aliye bungeni anayetetea tu vioja vya chama chake. Kazi ya ukombozi 2015 inakuwa rahisi sasa maana adui namba moja wa maendeleo ya nchi yetu sasa wananchi wanamjua, Chama cha Mabwepande
 
kuna watanzania wasio waelewa, ni wapinga maendeleo na hawajipendi wala kujidhamini kwani utashangaa wanavyowakumbatia na kuwaunga mkono hao wabunge wa ccm. na hata usishangae mwaka 2015 wakashinda tena kwakishindo. JAMANI TUBADILIKE EMBU ONA WAKENYA WALIVYOTUACHA MBALI KWA MAENDELEO KAMA TUMESIMAMA. WAO SASA WANA BARABARA FLY OVER NA TRENI YA UMEME ILISHAZINDULIWA NAIROBI.
 
NI WANAFIKI WATU WA KUPENDA KUJIKOMBA KWA HIYO WANAJIDANGANYA SANA KAMA WANANCHI WANAPENDEZWA NA UJINGA WANAOFANYA BUNGENI WABUNGE WENGI SANA WA CCM WATAPIGWA CHINI.:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…