My god win
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 361
- 240
Unajipa madaraka si Yako mkuuKwa nini huu uzi hauunganishwi? Hiyo asante si ungetoa kwenye uzi ule ule?
Unatujazia Server zetu
Asante kwa kushukuruNimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana.
.... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji23].wataondoka Kama walivyokuja. Sijasema natafuta Mume.Najua sasa hivi una kazi kubwa sana ya kujibu watu huko PM. Wengi wanakushawishi kuwa watakuoa. Nakushauri kuwa nao sana makini.
Ukipata muda pitia pm yako nimekutumia makala itakusaidia pakubwaNimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana.
.... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
amekuwa mama kijacho hahahahahHe he he naona ushauri umefanya kazi kwenye avatar yako!
Asante mkuu nimeipitiaUkipata muda pitia pm yako nimekutumia makala itakusaidia pakubwa
nawewe unapenda kupendwa! nimekupenda ghafla!amekuwa mama kijacho hahahahah
Usijali mama. Humu kuna kila aina ya watu ni sawa na mkoa wenu. Kwahiyo usijali wachache wakikuuzi. Cha msingi ni KUCHUKUA KILE KIZURI TU.[emoji16][emoji16][emoji23].wataondoka Kama walivyokuja. Sijasema natafuta Mume.
siyo mchezo!kasha pigwa chin kavimba juu[emoji23]He he he naona ushauri umefanya kazi kwenye avatar yako!