SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Nawashukuru waungwana wawili,Never give up na Katavi kwa kuninyooshea mikono miwili na kunikaribisha JF. Kidogo najisikia kujiamini.Nina swali hata hivyo na sijui kama kwenye safu hii ndo pahala pake.Nauliza hivi😛icha yangu ya utambulisho nitaiingizaje humu? Picha ninayo gundi pia ipo.Hata mkasi mdogo upo. Je, ntafanyaje kuinatisha humu?Naomba msiende mbali sana katika kunijibu na zingatia kwamba mimi ni mtu napenda sana utani. Nitashukuru kupata maelezo na nawatakieni nyote Happy Christmas and Happy New Year! Long Live JF!