Asanteni CCM, tumeelewa udhaifu wenu

Asanteni CCM, tumeelewa udhaifu wenu

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Mlituficha kwa miaka mingi sana mkitumia Ulofa na Upumbavu wetu, UKAWA/ wanamabadiliko hatuna ugomvi na Magufuli, ila hata Mwalimu J.K.Nyerere angekuwa hai leo hii sidhani kama angekuwa mwanaCCM tena, hakika angekuwa mwanamabadiliko.

CCM mmekuwa mkitumia jina la Mwalimu Nyerere kama kichaka cha kufichia uovu wenu.

Tangu ututoke mwaka 14/10/1999 watanzania tumeendelea kukuenzi na kesho ni siku nyingine ya kukukumbuka, na siku hiyo najua CCM watatumia maneno yako matamu kuwalaghai watanzania, maneno hayo uliyasema kwa CCM ya kipindi kile ambacho wewe uliisimamia misingi ya chama chako, maneno hayo hayana tena maana kwa CCM ya sasa, ila yana maana kwa watanzania ili itabidi kutafakariwa kwa kina ili waelewe ulimaanisha nini.

CCM mmetujaza uoga ili nyinyi muendelee kufaidi matunda ya Tanzania, CCM kwanini hamkutupa "makapi" yetu toka mapema? tungeyatumia kustawisha mazao yetu na sasa tungekuwa tunafaidi mazao yaliyostawishwa na makapi.

Sasa yatosha CCM NO MORE CHANCE youngsharo
 
Ccm wamebaki wasanii tu

Tatizo kubwa ni CCM machinery inavyoendesha kampeni ya mwaka huu. Kejeli na kinachoonekana kuwa matusi kwa wapinzani wake kunawakera wengi na kupunguza kura za Magufuli. Watanzania wako sensitive na matusi, kejeli na dharau, kura nyingi zinapotea kwa kumsema fulani yuko hivi au fulani ameji..e!
 
Ni bora kuipa kipaumbele chupi iliyoblidiwa kuliko Sisiem.
 
Tatizo kubwa ni CCM machinery inavyoendesha kampeni ya mwaka huu. Kejeli na kinachoonekana kuwa matusi kwa wapinzani wake kunawakera wengi na kupunguza kura za Magufuli. Watanzania wako sensitive na matusi, kejeli na dharau, kura nyingi zinapotea kwa kumsema fulani yuko hivi au fulani ameji..e!

akili zitawakaa sawa tu.
 
Back
Top Bottom