Asanten,nimeupata ukweli

embu kumbushia kidogo part 1,chezea JF wewe tehe tehe tehe tehe
 
View Profile: Abel james
User Name: Abel james
User Title: Member
Last Activity: Today 19:06
Kilaza huyu anapoteza muda wakwenda kufuturu
 
Dogo kuwa mwangalifu, kuna watu wamkuja jijini kufumua watu marinda
 
tuandamane elli part two bila one hainogi

Ngoja nikupe samare. Part one alikuwa hivi..... Alipata mchumba hum jf sasa akawa anachat kwa meseji tu akisema ampigie simu asikie sauti yake bibie hataki. Ila huyu mtoa mada akikohoa tu anajazwa mihela ila ndo hivyo bibie hataki sauti yake isikike
 
anhaaaa ahsante nimekupata so wameonana ndo akamkimbia hahaha
 
tuwekee uzi wa kwanza mkuu. Tunakosa link.
 
Kwani kuna ubaya gani juwa na jimama?Flavor yako wewe kama sio jimama tuachie wenyewe tunao wapenda majimama pls
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…