chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,095
- 25,844
Kwa kweli Nina furaha na ninaipongeza mahakama,inafanya kazi vizuri ya kudumisha utawala wa sheria.
Nchi ilianza kupata hofu
Kamata kamata zimekuwa nyingi na nyingine za hovyo na zinafedhehesha serikali yenyewe,mambo madogo madogo ya ajabu mtu kakamatwa.
Watu wanatishiwa,wanatukanwa,wanafukuzwa hovyohovyo na hawa watawala,wanajiona wao magangwe wana mabavu ya kutufanya lolote wakati juzi tu ni sisi tuliwapa kura.
Cha ajabu hawa majaji na mahakimu hatukuwapa kura lakini ndio wamekuwa watu wema na wakombozi kuliko hawa waliokuja wakililia kura.
Wao wanajiona wako juu sana lakini tunawafahamu wao wenyewe,mama zao tunaishi nao mitaani,nduguzao,leo wamepata jeuri wanatutukana kama watoto
Tunasikia tu wanakama watu huku,kule.
Hata,endeleeni,nyie ni binadamu tu na wenzenu waliostaafu tuko nao mtaani wamejaa aibu tele