cathy14
Member
- Apr 11, 2014
- 37
- 23
Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia nafasi hii ya kipekee maana bila Mimi peke Yang nisingeweza anijaalie moyo wa kujituma kwa bidii bila kuchoka, pia nawashukuru sana wana JF na ambaye alijitolea kuweka lile tangazo la kazi mungu awabariki, ambao bado mnatafuta kazi msichoke wala kukata tamaa fungu lako lipo sehemu Fulani mungu atakapo kupa kama Mimi,