Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.
Hongera na ubarikiwe! Wengine bado tunasubiri.
Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.
Hongera sana, naomba nikupe na haya maandiko
Kumbukumbu 8:12-18
12 Angalia, utakapokuwa umekula na kushiba, na kujenga nyumba nzuri na kukaa ndani yake;
13 na makundi yako ya ng'ombe na kondoo yatakapoongezeka, na fedha yako na dhahabu yako itakapoongezeka, na kila kitu ulicho nacho kitakapoongezeka;
14 basi hapo moyo wako usiinuke, ukamsahau Bwana, Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa;
15 aliyekuongoza katika jangwa lile kubwa lenye kitisho, lenye nyoka za moto na nge, nchi ya kiu isiyokuwa na maji; aliyekutolea maji katika mwamba mgumu,
16 aliyekulisha jangwani kwa mana, wasiyoijua baba zako; apate kukutweza, apate kukujaribu, ili kukutendea mema mwisho wako.
17 Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo.
18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
umeomba kazi umepata kazi so fanya kazi usione kazi kuifanya hiyo kazi ila acha kazi uone kazi kupata kazi.... congulatration mkuu
Umeanza mwaka mpya na Bwana (Yesu)
Mi toka 2008 bila bila. Mungu huyu jamani....
Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.
Usisahau kuishukuru na Sekretariat ya ajira!
Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.
Hongera ndugu na usisahau kutoa fungu la kumi kwa Mungu la mshahara wako wa kwanza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
muwe mnashauri na njia mlizotumia kupata hizo kazi ili iwasaidie ambao bado wanasota mtaani
Hongera sana usisahau kutoa zaka na pia usianze kudharau washkaji wa kitaa kwa kuwa sasa umekuwa matawi ya juu.