Ushabiki maandazi ameisaidia vipi nchi yake?Bora ungewaweka level Moja na Cr7 na akina zizzouHuwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Kabla ya messi tulikuwa na Pele kama mchezaji bora wa muda wote ila messi amekuja kuharibu kila kitu
Ewe mfalme wa soka duniani nakuhusudu sana
Kwa kumuenzi messi nitamtaja mtoto wangu jina la messi amefanya makubwa
Hakuna mchezaji hata mmoja anayeweza kumsogelea messi katika kizazi hiki tulichonacho
Messi hata ukistaafu mpira kesho hakuna ninachokudai
Messi The GOAT
View attachment 1145317View attachment 1145318
Mungu hawezi kuleta mtu ambaye akiwa nje ya barca hana makali, ungekua na akili timamu ungemshukuru Mungu kwa kumleta CR7 kwenye hii dunia maana CR7 tokea akiwa man united, madrid Juve mpaka kwenye timu ya taifa tunaona mafanikio yake!!Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Kabla ya messi tulikuwa na Pele kama mchezaji bora wa muda wote ila messi amekuja kuharibu kila kitu
Ewe mfalme wa soka duniani nakuhusudu sana
Kwa kumuenzi messi nitamtaja mtoto wangu jina la messi amefanya makubwa
Hakuna mchezaji hata mmoja anayeweza kumsogelea messi katika kizazi hiki tulichonacho
Messi hata ukistaafu mpira kesho hakuna ninachokudai
Messi The GOAT
View attachment 1145317View attachment 1145318
Tatizo linaanzia apa
Quote ya kindezi ni heri hata usingeiweka....very subjectiveView attachment 1145361
Kwenu wachambuzi mimi ni Nani mpaka nibishe
Aaah ku###$$ke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]former what?????????View attachment 1145361
Kwenu wachambuzi mimi ni Nani mpaka nibishe
Tatizo linaanzia apaView attachment 1145371
View attachment 1145361
Kwenu wachambuzi mimi ni Nani mpaka nibishe
Mungu hawezi kuleta mtu ambaye akiwa nje ya barca hana makali, ungekua na akili timamu ungemshukuru Mungu kwa kumleta CR7 kwenye hii dunia maana CR7 tokea akiwa man united, madrid Juve mpaka kwenye timu ya taifa tunaona mafanikio yake!!