Nchi makanjnja wengi Sana hatuna wasom safi kama sampuli ya akina Lissu,mambo gan ambayo magu kayafanya Zaid ya kuondoa wafanyakaz hewa hilo ntapongeza n visible things lkn the rest n hovyo Sana asilomia kubwa vitu alofanya ktk utawala wake havina msaada wa moja kwa wananchi walio wengi, hospital ukienda madàktari siku hiz hawasemi kama Zama badala yake wanakuandikia dawà ambazo zko kwà msaa dà aka jiwe hatàkama haztib ilimràd kulinda kibarua chake,elim ndo usiseme huko ndo kumeoza mwanafunz kdato cha 3 anatungiwa mtihan maswali mawili au matatu haf mwisho wa cku unataka afaulu! Hopeless
Unaelewa unachokiongeaMkuu wetu wa nchi H.E J.P.Magufuli anaifanya kazi yake vizuri sana tena sana, Tatizo kubwa ni misinformation anazopewa na communities zake zinazomsaidia, Ukiangalia kwa jicho la tatu Mkuu ana nia ya kutupeleka Pazuri kabisa ila watu wanaomzunguka ndio chanzo cha mkwamo huu unaotokea.
Ni ruksa kujifariji...... Ila JPM ni same jana, leo na kesho ..Salaam,
Mzee Magufuli kaishiwa pumzi mapema sana.. nakumbuka matendo na mikwara yake ya 2016 na sasa ni tofauti kabisa. Kaishiwa pumzi, kalegea sana kisiasa. Anatamani Polisi, Jeshi, mgambo, magereza wote wamuunge mkono waziwazi kutokomeza Uwazi, uwajibikaji na na kuhakikisha nchi haina demokrasia.
Jikumbushe hotuba yake, kila mtu alijua kapata rais=>Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015 - JamiiForums
Anatamani kuona Mahakama inawaadhibu wapinzani wake wote wa kisiasa na wale wanaomkosoa wanafungwa Maisha, anatamani kuona kila mtu anampigia makofi kwa anachokofanya hata kama hakifai. Anatamani afananishwe na Nyerere. (Nyerere aliunganisha taifa, yeye wanasiasa wasio CCM ni adui wa nchi) hawawezi fanana katu.
Soma;
Rais Magufuli aingilia uhuru wa Mahakama, aagiza Jaji Mkuu amalize kesi za kodi Serikali ipate hela zake mapema - JamiiForums
Rais Magufuli awaagiza RPC na RC wa Njombe, kuwafungulia kesi upya watu walioachiliwa huru na mahakama, Jaji Mkuu na IGP wahakikishe amri inatekelezwa - JamiiForums
Baada kuona kashindwa kaanza kusingizia Mabeberu, kwani wakati wa Kikwete Mabeberu hawakuwepo?
Eti vyama vya upinzani visifanye kazi za kisiasa(Siasa hazifanyiki na anachofanya hakionekani), vifunge Ofisi ili nchi isonge mbele na iwe donor country. Hata baada ya miaka mitatu uongozi wake haujaweza kusaidia japo makazi bora kwa wazee wanaoishi mazingira Magumu na Vituo vya kulelea Wazee.
Rais Magufuli: Hakuna siasa mpaka 2020 - JamiiForums
Mwigulu: Marufuku ya mikutano ya siasa iko pale pale - JamiiForums
Tangu apate madaraka hadi leo, hotuba zake hazibadiliki, ni zilezile miaka yote mitatu hadi kila mtu anajua ataongea nini. Utasikia;
Tuna fedha za kujiendesha kwa miezi mitano bila kufanya kazi, Stiegler's Gorge, mapato kuongezeka kutoka bil 800 hadi tril 1.3 kwa mwezi, Watoto waliojiandikisha la kwanza wameongezeka, Wafanyakazi na vyeti hewa, Nchi yetu ni tajiri sana, Hapa kazi tu, nitawafanyizia kazi nk. Hakuna jipya,anarudia hayo hayo miaka yote mitatu ya Uongozi wake.
Hii ndo dalili ya kwamba mzee mkubwa kakwama na hajui kama kakwama.
Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya - JamiiForums
Huyu mwenyekiti wa CCM lakini utasikia.. Hii nchi yetu imeliwa sana, mtu unajiuliza kabla ya uongozi wake chama gani kilikuwa madarakani? Ni CCM? na yeye ni wa CCM?
Yaliyobaki ni kujisifia tu eti najua kuna mtu sehemu fulani kafanya kitu fulani. Sijui najua wanaoiba dhahabu sisemi sana kesi zipo mahakani. Sijui nina degree ya Korosho hadi sasa chuo kikuu hawajanipa certificate. Hahahaa...Wafanyabiashara wasiponunua korosho ntazinunua kwa siku tatu tu. Tunajenga SGR itakuwa Korosho. Kila mtu anajua.. Sijui nalala na mafile kitandani.
Rais Magufuli: Tutanunua Korosho kwa Tsh.3,300/=, JWTZ ihakikishe kila ghala linalindwa na Wakulima wanalipwa haraka bila usumbufu - JamiiForums
Alijifanya mzalendo eti dada yake asiende kutibiwa nje, Mungu akampenda zaidi. Sijajua mama yake kama kashasafirishwa.
Ukitaka abadilishe sura muulize haya maswali. Hata usiulize, just andika facebook haya maneno.
1. Trilioni 1.5 ipo wapi?, kwanini thamani ya shilingi imeshuka, kwanini hamna ajira wakati anadai pesa zipo
2. Ni sheria ipi anatumia kukataza vyama vya siasa kutofanya siasa.
3. Uchunguzi wa waliomshambulia Tundu Lissu, Alfonce Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda.
4. Wanafunzi wengi wanaojiunga la kwanza wakimaliza la saba wataenda wapi?
5. Kwanini anaamulisha Polisi wakamati raia na kuwafungulia kesi na kuagiza Jaji mkuu na Polisi kuhakikisha wanafuatilia. Anatumia Sheria ipi?
6. Watu waliopotea kibiti, tume ya uchunguzi itaundwa lini?
7. Kwanini Tanzania hakuna Demokrasia?
9. Mgogoro wa Uchaguzi Zanzibar
10. Kwanini wanaomkosoa wanakamatwa?
My brother, jua utaishi bila furaha japo utajaribu kuuliza hayo maswal. Utaambiwa wewe sio Mzalendo, Utaambiwa wewe sio raia, utaambiwa wewe unatumikia mabeberu. Watatu watakutishia kukuua na hata ukitoa taarifa Polisi haitafanyiwa kazi.
Apandishwa Kortini kwa kumhusisha Rais Magufuli na sakata la trilioni 1.5/- - JamiiForums
Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali - JamiiForums
DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali - JamiiForums
Jamaa alijua kuongoza Tanzania ni rahisi kama kusukuma mlevi.
Kwa haya anayofanya, mimi namuelewa, sababu bila hivyo atapaugua presha na kisukari. So bora nchi iendeshwe kidikteta ila anapokosea asiulizwe na atakayeulizwa atafutwe popote alipo.
Hii ni mbinu inatumika sana hata kwenye Ugomvi. Mtu akishindwa kupigana, anang'ata. Muacheni mwenyekiti wetu wa CCM ang'ate ili aonekane ameshinda.
Upo uwezekano mkubwa sana 2020 huyu mwenyekiti wa CCM anaweza asigombee Urais tena.
Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea - JamiiForums
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! - JamiiForums
View attachment 1009305
Qualities zake hazikumfaa kuwa Padri ila President ndio maana kwa uwezo wa mungu leo ni president and not kasisiNdio maana shule aloanza kusoma kidato cha 1&2 alitimuliwa seminary moja huko Kagera kisa hizo sifa anazozifanya saiz
Shida ni uwezo mdogo tu exposure hakuna, uelewa wa mambo ni mdogo sana, sijui huyu mtu aliwezaje kufaulu darasani yani jazba na mikurupuko yake si mchezo...
Ohoooo!!!Salaam,

dah politics.....naandika nafutaSalaam,