Asante Mungu, hatimaye Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli, ameishiwa pumzi, hana pa kushika. Mimi nilijua mapema

Lissu ndo anamchanganya kabisa.
Hakuna aliyemwaga damu ya mtu asiye na hatia tena kwa hila akabakia salama. Anaweza kuonekana yuko vizuri kihisia (emotionally); mwenye afya na siha nzuri (physically fit); ukakuta kisaikolojia hayuko vizuri; dhamira (kama anayo) inamsuta hasa kuona kazi ya kuua iliyoshindikana ina maana TAML yu hai.

Lazima ahitaji ardhi ipasuke immeze!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka Mkuu ameingia madarakani amefanya kazi kubwa sana Kuanzia huduma za afya miundombinu kununua ndege na kununua meli ziwa Victoria japo aijafika. Kasimamia maadili kwa viongozi wa umma na serikali ukienda kwenye madini kaboresha mikataba ya ovyo kaongeza uwazi hayo anayosemwa kwa mabaya ni propaganda.Mungu azidi kumsimamia hii kazi sio ndogo..
Kazi imemshinda!
 
Kwa maana hiyo tangu aingie madarakani yeye amekuwa wa kupotoshwa na hao wasaidizi wake tu? Kama ndo hivyo ina maana yeye hana uwezo wa kitambua kuwa anapotoshwa karibia kila afanyalo? Kama ndivyo basi tutakuwa na madhara makubwa sana ya kuongozwa na mtu anayeshikwa mkono na kuongizwa na wengine ( sikumbuki vizuri mtu huyo huwa anaitwaje)

Sent using Jamii Forums mobile app

maswali mazuri sana, maana tokea term iliyopita, hua tunaambiwa wenye mapungufu ni "wasaidizi", kama hawa ndio chanzo cha matatizo yetu, tuwe tunawachagua wao
 
Salaam,

Mzee Magufuli kaishiwa pumzi mapema sana.. nakumbuka matendo na mikwara yake ya 2016 na sasa ni tofauti kabisa. Kaishiwa pumzi, kalegea sana kisiasa. Anatamani Polisi, Jeshi, mgambo, magereza wote wamuunge mkono waziwazi kutokomeza Uwazi, uwajibikaji na na kuhakikisha nchi haina demokrasia.

Jikumbushe hotuba yake, kila mtu alijua kapata rais=>Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015 - JamiiForums

Anatamani kuona Mahakama inawaadhibu wapinzani wake wote wa kisiasa na wale wanaomkosoa wanafungwa Maisha, anatamani kuona kila mtu anampigia makofi kwa anachokofanya hata kama hakifai. Anatamani afananishwe na Nyerere. (Nyerere aliunganisha taifa, yeye wanasiasa wasio CCM ni adui wa nchi) hawawezi fanana katu.

Soma;

Rais Magufuli aingilia uhuru wa Mahakama, aagiza Jaji Mkuu amalize kesi za kodi Serikali ipate hela zake mapema - JamiiForums

Rais Magufuli awaagiza RPC na RC wa Njombe, kuwafungulia kesi upya watu walioachiliwa huru na mahakama, Jaji Mkuu na IGP wahakikishe amri inatekelezwa - JamiiForums

Baada kuona kashindwa kaanza kusingizia Mabeberu, kwani wakati wa Kikwete Mabeberu hawakuwepo?

Eti vyama vya upinzani visifanye kazi za kisiasa(Siasa hazifanyiki na anachofanya hakionekani), vifunge Ofisi ili nchi isonge mbele na iwe donor country. Hata baada ya miaka mitatu uongozi wake haujaweza kusaidia japo makazi bora kwa wazee wanaoishi mazingira Magumu na Vituo vya kulelea Wazee.

Rais Magufuli: Hakuna siasa mpaka 2020 - JamiiForums

Mwigulu: Marufuku ya mikutano ya siasa iko pale pale - JamiiForums

Tangu apate madaraka hadi leo, hotuba zake hazibadiliki, ni zilezile miaka yote mitatu hadi kila mtu anajua ataongea nini. Utasikia;

Tuna fedha za kujiendesha kwa miezi mitano bila kufanya kazi, Stiegler's Gorge, mapato kuongezeka kutoka bil 800 hadi tril 1.3 kwa mwezi, Watoto waliojiandikisha la kwanza wameongezeka, Wafanyakazi na vyeti hewa, Nchi yetu ni tajiri sana, Hapa kazi tu, nitawafanyizia kazi nk. Hakuna jipya,anarudia hayo hayo miaka yote mitatu ya Uongozi wake.

Hii ndo dalili ya kwamba mzee mkubwa kakwama na hajui kama kakwama.

Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya - JamiiForums

Huyu mwenyekiti wa CCM lakini utasikia.. Hii nchi yetu imeliwa sana, mtu unajiuliza kabla ya uongozi wake chama gani kilikuwa madarakani? Ni CCM? na yeye ni wa CCM?

Yaliyobaki ni kujisifia tu eti najua kuna mtu sehemu fulani kafanya kitu fulani. Sijui najua wanaoiba dhahabu sisemi sana kesi zipo mahakani. Sijui nina degree ya Korosho hadi sasa chuo kikuu hawajanipa certificate. Hahahaa...Wafanyabiashara wasiponunua korosho ntazinunua kwa siku tatu tu. Tunajenga SGR itakuwa Korosho. Kila mtu anajua.. Sijui nalala na mafile kitandani.

Rais Magufuli: Tutanunua Korosho kwa Tsh.3,300/=, JWTZ ihakikishe kila ghala linalindwa na Wakulima wanalipwa haraka bila usumbufu - JamiiForums

Alijifanya mzalendo eti dada yake asiende kutibiwa nje, Mungu akampenda zaidi. Sijajua mama yake kama kashasafirishwa.

Ukitaka abadilishe sura muulize haya maswali. Hata usiulize, just andika facebook haya maneno.

1. Trilioni 1.5 ipo wapi?, kwanini thamani ya shilingi imeshuka, kwanini hamna ajira wakati anadai pesa zipo

2. Ni sheria ipi anatumia kukataza vyama vya siasa kutofanya siasa.

3. Uchunguzi wa waliomshambulia Tundu Lissu, Alfonce Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda.

4. Wanafunzi wengi wanaojiunga la kwanza wakimaliza la saba wataenda wapi?

5. Kwanini anaamulisha Polisi wakamati raia na kuwafungulia kesi na kuagiza Jaji mkuu na Polisi kuhakikisha wanafuatilia. Anatumia Sheria ipi?

6. Watu waliopotea kibiti, tume ya uchunguzi itaundwa lini?

7. Kwanini Tanzania hakuna Demokrasia?

9. Mgogoro wa Uchaguzi Zanzibar

10. Kwanini wanaomkosoa wanakamatwa?

My brother, jua utaishi bila furaha japo utajaribu kuuliza hayo maswal. Utaambiwa wewe sio Mzalendo, Utaambiwa wewe sio raia, utaambiwa wewe unatumikia mabeberu. Watatu watakutishia kukuua na hata ukitoa taarifa Polisi haitafanyiwa kazi.

Apandishwa Kortini kwa kumhusisha Rais Magufuli na sakata la trilioni 1.5/- - JamiiForums

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali - JamiiForums

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali - JamiiForums

Jamaa alijua kuongoza Tanzania ni rahisi kama kusukuma mlevi.

Kwa haya anayofanya, mimi namuelewa, sababu bila hivyo atapaugua presha na kisukari. So bora nchi iendeshwe kidikteta ila anapokosea asiulizwe na atakayeulizwa atafutwe popote alipo.

Hii ni mbinu inatumika sana hata kwenye Ugomvi. Mtu akishindwa kupigana, anang'ata. Muacheni mwenyekiti wetu wa CCM ang'ate ili aonekane ameshinda.

Upo uwezekano mkubwa sana 2020 huyu mwenyekiti wa CCM anaweza asigombee Urais tena.

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea - JamiiForums

PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! - JamiiForums
Mkuu mbona kama pumzi vimeishiwa vyama vya siasa

View attachment 1009305
Hivi hizi roho za kichawi zitaisha lini?
 
Ma DC na RC sheria inawaruhusu kuweka ndani masaaki 48, tumie sheria hii ili watu wakati.

Majuzi....Ma DC na RC mnatumia vibaya sheria ya kuwaweka watu ndani bila kuwapeleka mahakamani. Acheni taiba hii😁😁😗😗🙂🙂

Kwa miaka 3 watu wamepewa Nyani arbitrarily wakuu wamekaa wanafurahia baleful ghafla wahusika wanakaripiwa. Uongozi wa kijima kweli kweli!
 
Mkuu wetu wa nchi H.E J.P.Magufuli anaifanya kazi yake vizuri sana tena sana, Tatizo kubwa ni misinformation anazopewa na communities zake zinazomsaidia, Ukiangalia kwa jicho la tatu Mkuu ana nia ya kutupeleka Pazuri kabisa ila watu wanaomzunguka ndio chanzo cha mkwamo huu unaotokea.
Mkuu usichume dhambi za bure,Nia bila uwezo ni bure,yaani uwezo unatakiwa kuanza Kisha ije Nia,Sasa huyu wa kwetu anaweza kweli akawa na nia nzuri though sina hakika ila kwa kuwa uwezo hana,hata ukishusha malaika ndo waje kuwa washauri wake atashindwa tu bado.
 
Toka Mkuu ameingia madarakani amefanya kazi kubwa sana Kuanzia huduma za afya miundombinu kununua ndege na kununua meli ziwa Victoria japo aijafika. Kasimamia maadili kwa viongozi wa umma na serikali ukienda kwenye madini kaboresha mikataba ya ovyo kaongeza uwazi hayo anayosemwa kwa mabaya ni propaganda.Mungu azidi kumsimamia hii kazi sio ndogo..
labda Kuna nchi mbili zinaitwa Tanzania
 
Jamaa alijua kuongoza Tanzania ni rahisi kama kusukuma mlevi.
Unajua?

Umeyasema meeengi, lakini ukasahau moja ambalo ni la mhimu zaidi na ndio maana unamlaumu Mh Rais kushindwa.

Sio kosa lake; maanake watu kama nyinyi hamkumpa ushirikiano alioomba tokea mwanzo na bado anaendelea kukumbushia na kuhimiza apewe msaada huo.

Umesahau wajibu wako wa "Kumwombea" Mh. Rais. Hili sikuliona katika orodha yako ndefu, ndio maana nakukumbusha. Anza leo, matokeo utayaona kesho.

Itawezekanaje kama bado kuna watu kama Dubu 'msioitakia nchi yetu mema'? Hata 'kuombea' tu mnaona nongwa!
 
Mleta mada unajua mwenyewe ulichovuta na mashabiki wako. Kifo cha dadake kisingetokea angepelekwa nje? Nje wenyewe hawafi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom