Asante "Michael Gorberchov" kutuulia CCM

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
231
Reaction score
161
Kwa wale waliokuwa wakifuatilia vita baridi (Cold war) kati ya kambi ya Magharibi ikiongozwa na Marekani dhidi ya kambi ya Mashariki chini ya Urusi, vita hivi vilianza kupungua nguvu na hatimae kutoweza kabisa kufuatia kusambaratika kwa USSR. Hii ilikuwa baada ya kiongozi mmoja alieitwa Michael Gorberchov kuwa Rais wa URUSI na kufanya kila hila kuua kambi ya kisoshalisti.

Mfano huo hauna tofauti na Tanzania ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopoteza mwelekeo na imani kwa wananchi wa Tanzania mara tu Jakaya Kikwete alipokuwa Mwenyekiti na Rais wa Chama. Hili halihitaji research kujua CCM imepoteza mvuto kiasi gani, na inajiandaa vipi kuwa chama cha Upinzani mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Udhaifu wa Kikwete kuongoza Serikali chini ya CCM ndiyo unaopelekea chama hiki kuwa katika sala ya kupigana na Mauti. Udhaifu au Makusudi ya JK ni dhahiri yanawachukiza wanaCCM wengi ambao kwa unafiki wao wameendelea kukaa kimya kumuogopa mheshimiwa. Woga huo sasa unawatokea puani.

Hongera JK kwa kuipoteza CCM kutoka chama kikuu AFRICA nyuma ya ANC, na kuwa chama cha Upinzani 2015 kama Gorberchov alivyoipoteza USSR.

Mungu ailaze Jahanam CCM na viongozi wake, Amen.
 
Wangekuwa na akili wangemtosa mapema waokoe Chama chao, lakini kwa sababu ni sikio la kufa....
 
Wahi mirembe ukapate tiba
 
:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Back
Top Bottom