Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya

wewe na nani?koroboi wewe!
 
Kwan mnabishana nin, em anayejua kaz za mbunge katika kufanikisha maendeleo afunguke then tujue kama mpangilio na maendeleo ya wana Mbeya ni mkono wa Sugu au vp??
 
sugu ni mashine ya kusaga na kukoboa anatisha mbaya ccm kawapoteza mbaya
 
Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya
Mpangaji? poa lakini hata mwenye nyumba huwa anaishiwa na kumkopa mpangaji, akishindwa kulipa humuachia mpangaji akawa ndio mmiliki wa nyumba.
 
CHADEMA haitapata tena jimbo la Mbeya mjini! Sugu ndio wa kwanza na wa mwisho!

Watu wa Mbeya sio kama unavyofikilia, Kawaambie Tabora na Ruvuma na Pwani huko ndo utakuwa na uhakika wa maccm Jiji letu hatuwezi kulitia unajisi wa kurudi Misri yaani dhambini ccm.
 
watu wanatokwa na mapovu hatari ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…