Mwisho wa Ukawa ni tarehe 26 oktoba
Huyu binti ajitambui kabsa
Worthy news are on the other side. Kujinyea si shughuli ndogo.Kwani huwezi kuandika kuhusu magufuli hata mara moja au uko too obssed na ukawa
Mi kwa ufupi namshukuru sana mh. Lowasa kwa kuinunua chadema na hatimaye kupitishwa kuwa mgombea kwa kura moja ya mwenyekiti. Siku zote watu waliamini chadema ni kiboko ya mafisadi, kumbe loh wapi bwana.
Kibaya zaidi tungeweza kuwpa nchi kumbe wao ndiyo mafisadi wa kutupwa. Sasa cheki mbowe anafaulisha mabilioni tu

Hivi we binti unamatatizo gani umekosa bwana mbona unahangaika sana na ukawa wew huko ccm hakuna mabwana sio?
Wewe ni pumbafu unaacha kuwasema mafisadi ccm unahangaika na chadema!!!!!?