leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,707
Heshima ya kufanya kazi naona ikrudi kwa kasi tofauti na hapo awali. Huko tulikotoka heshima ilikuwa katika wizi na ma deal yasiyoeleweka kiasi kwamba mtu unayefanya kazi na kupata ujira halali unachekesha mbele za watu.
Nakupongeza kwa dhati Mh.JPM kwa kurudisha heshima ya kazi halali.
Nakupongeza kwa dhati Mh.JPM kwa kurudisha heshima ya kazi halali.