Asante JF Founder

Na mimi ngoja nianze kutafuta. Binti yeyeto atakayekuwa interested na mimi anipm, naona mambo nikubahatisha tu sasa
 
Hongera sana ulitumia Vigezo gani kumpata :becky:
 
Hongereni
Kumbukeni nyumba huchua Muda mrefu kuijenga na dakika chache kuibomoa hivyo basi mmoja wenu akiwa na hasira mmoja awe mpole kufanye mwenzake apunguze hasira kwani wote mkiwa na hasira shetani atakaa katikati yenu na kuwafanya mchukue maamuzi ya hasira ambayo yatawaongoza kubomoa mapenzi yenu hivyo basi msichukue maamuzi pindiu muwapo na hasira.

Mapenzi ni kama muwa huwezi kula bila kukuta fundo na mkikuta fundo maneno haya yatawale kwenye vinywa vyenu
1. Pole 2. Samahani 3. Ahsante 4. Nisamehe

Mwenyezi Mungu awajalie mapenzi mema awaepushe na fitina na dhahama za dunia na aifanye ndoto yenu ya kuja kuishi pamoja ije kuwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…