Asante JF Founder

Kasheshe nyingine ipo hapo...ninaowazimia hapa JF wote wanajua 'kuchonga' hao! Hivi Preta unamtongozaje!? bora tu style yetu ya kiChagga ya kuhonga, atleast inaepusha vibuti!

huyo pitia kwangu mie ntakusomeshea,wa kunyumba wangu huyo atanisikiliza sana tu, andaa pesa za vinywaji vya kutosha tu, hapo red kaka na wewe wa kizamani sana jamani, siku hizi wanaume hawaongi bwana sisi ndio tunawahonga....uko nyuma sana na starehe za dunia zinavyoenda.
 
mmhh hilo jina limenikumbusha wimbo wa twanga pepeta.....

katika wanawake kumi wewe utakuwa mmoja wao tu.... wanawake wengi wanaohonga naona siyo wazuri... hawana sura za mvuto kama wewe
 
mmhh hilo jina limenikumbusha wimbo wa twanga pepeta.....
katika wanawake kumi wewe utakuwa mmoja wao tu....
wanawake wengi wanaohonga naona siyo wazuri... hawana sura za mvuto kama wewe

tena? huhh
 
Mimi hujawahi kunihonga...something is wrong here...:glasses-nerdy:

 
Jamani hivi mnapatapaje watu humu? Hongera bro, keep the relationship stable
 
Member: Mshuwa
Join Date : 3rd April 2012

Posts : 44
Rep Power : 339

Likes Received8
Likes Given5




Member: cutetoto
Join Date : 4th October 2012

Posts : 13

Rep Power : 307
Likes Received4
Likes Given20



Mambo mengi mnafanafana nyie. Kuna mkono wa ........
 
Mmmmmh
bhaaaas

 
Hogera mkuu. Hakika kila mtu ana historia ya alivyokutana na mpenzi au mwenza wake wa maisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…