Asante ITV na Star TV

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,195
Nilikuwa nasubili kuona mapokezi wa shujaa wa kigoma sijayaona kabisa katika tv hizi, asante sana ITV na Star TV sasa ni tv makini kwa watanzania kwakuangalia utanzania
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,959
1,225
Chadema wana kawaida ya kununua media zisiandike habari za wapinzani wao. Mf ni kina shonza hadi walipohojiwa na gazeti la mtanzania ndio umma ukajua A - Z
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,195
Chadema wana kawaida ya kununua media zisiandike habari za wapinzani wao. Mf ni kina shonza hadi walipohojiwa na gazeti la mtanzania ndio umma ukajua A - Z

ungemwambia na zitto angewanunua leo, habar yake imebaki humu tu na kesho JAMBOLEO, TAZAMA, RAI NA UHURU utaiona. Asante itv na startv
 
jaxonwaziri

JF-Expert Member
Feb 17, 2010
375
250
Chadema wana kawaida ya kununua media zisiandike habari za wapinzani wao. Mf ni kina shonza hadi walipohojiwa na gazeti la mtanzania ndio umma ukajua A - Z

CHDM hela ya kununua media waitoe wapi? It would be plausible if you mentioned that chama cha majangili ndio wenye nguvu hiyo kifedha na kifikra !
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
12,091
2,000
Chadema wana kawaida ya kununua media zisiandike habari za wapinzani wao. Mf ni kina shonza hadi walipohojiwa na gazeti la mtanzania ndio umma ukajua A - Z

Manakuwa na hulka za haraka kufanya maamuzi, kesho lazima coverage itaoneshwa sio lazima iwe leo.

Hata hivyo hilo sio suluhisho, suluhisho nikufukuza ZZK, aende kuunda chama chake nanyi muateni.
 
Makaro

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
615
195
Ubaguzi, ukanda na ukabila

Hizi mbegu mnazopandikiza ndizo zimelifikisha Taifa lilipofika ndugu yangu. Soma report ya Mh. Lembeli, iliyowafukuza Mawaziri wanne Jana Bungeni. Chuki za piga tu piga tu, tumechoka, maandamano ya upinzani piga mabomo, umeona kilichotokea Jana....acha kupandikiza chuki, huna cha kuongea nyamaza
 
uru classic

Senior Member
Aug 25, 2013
120
170
yan mimi cna station nyngine zaid ya ITV KWA sabbu wanajua wajibu wao kwa watanzania.ogopa maneno yako na c jambo la kawa4da kwa ktuo cha tv kupendwa na wapnzan na watawala vtuo vchache kwa nch ya kiafrika kama hv ndo vmefanikiwa hlo
 
Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
Walikua kwenye kikao cha madiwani jimbo la singida mashariki wakimkwida TL kwa kuto kuwa muwazi kenye fedha za mfuko wa jimbo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom