Asante Instagram kwa kunipa Asali

Asante Instagram kwa kunipa Asali

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,904
Reaction score
7,116
Kuna bidada mmoja wa South Africa nimewasiliana naye hivi karibuni nikalike picha zake nyingi kwa mkupuo!

Sasa wataalamu wa Instagram au ndiyo sijui wanaita mitambo yao inayotumia artificial intelligence wakaona lazima ntakuwa nawazimia sana hawa mabinti wa Kisouth. Sasa kila nikifungua Instagram page nzima ni watoto wakali hatareee. Kuna siku nitakuja kuiongelea hii artificial intelligence.

Kuna vitu vichache ambavyo kwangu nikiviona au kuviexperience najua uwepo wa Mungu hauna mashaka. Moja ya mambo hayo ni pale ninapomuona mtoto mkaliii. Tuache utani jamani, kuna mabinti wazuri hadi ukiwaona akili inafreeze. Aisee!! Unasali tu kimoyomoyo kumshukuru kwa uumbaji. Ni kama pale ninapokula korosho!!

Mada hii haina uhusiano na uovu wa aina yoyote Ni kutambua tu asali hizi za macho!

.......Sielewi kwa nini post hii ilifutwa mara ya kwanza nilipoileta lakini nimeweza kudukua server na kuipaisha tena......
 
Kuna bidada mmoja wa South Africa nimewasiliana naye hivi karibuni nikalike picha zake nyingi kwa mkupuo!

Sasa wataalamu wa Instagram au ndiyo sijui wanaita mitambo yao inayotumia artificial intelligence wakaona lazima ntakuwa nawazimia sana hawa mabinti wa Kisouth. Sasa kila nikifungua Instagram page nzima ni watoto wakali hatareee.

Kuna vitu vichache ambavyo kwangu nikiviona au kuviexperience najua uwepo wa Mungu hauna mashaka. Moja ya mambo hayo ni pale ninapomuona binti mkaliii. Tuache utani jamani, kuna wanawake wazuri hadi ukiwaona akili inafreeze. Aisee!!

Mada hii haina uhusiano na uovu wa aina yoyote Ni kutambua tu asali hizi za macho!

.......Sielewi kwa nini post hii ilifutwa mara ya kwanza nilipoileta lakini nimeweza kudukua server na kuipaisha tena......
Pamoja mkuu pia mimi nina ako kaugonjwa.

Aminia👊
 
Instagram hakuna mwanamke mbaya wote ni warembo

Labda ni filters ndiyo uchawi wenyewe ila hawa mabinti wa Kisouth nimewavulia kofia.

Ila kuna ukweli na unachokisema. Kabla binti yoyote hawajapost picha yake instagram kwanza inapitia uangalizi maalumu kuhakikisha vigezo vyote vimetimia ila wako fast sana kwenye uhakiki!!
 
Back
Top Bottom