Hildafranc
Senior Member
- Jan 29, 2015
- 103
- 32
Wakuu heshima kwenu,
Hivi mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa kutumia asali? Naomba kujuzwa tafadhali.

Hata ndizi anaruhusiwa kula.Wakuu heshima kwenu,
Hivi mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa kutumia asali? Naomba kujuzwa tafadhali.
Usile utazidi kuwa mtamu
Asali inaongeza utamu mwiliniKwa vipi mkuu?