Asali mbichi ya nyuki wakubwa – 100% natural

Asali mbichi ya nyuki wakubwa – 100% natural

chama mpangala

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
621
Reaction score
934
Unatafuta asali halisi yenye nguvu za kiafya na ladha tamu ya asili?
Hii ndiyo fursa yako!

Asali Mbichi ya Nyuki Wakubwa
Haina uchakachuaji – ni mbichi na safi moja kwa moja kutoka shambani.
Faida lukuki kwa afya: huimarisha kinga, kuongeza nguvu mwilini, na kusaidia mmeng’enyo.
Ladha ya kipekee – laini, tamu na ya kuvutia.
IMG_20250826_085749_880.jpg

IMG_20250827_102756_027.jpg

Bei ya Ofa:
Lita 5 = Tsh 60,000/- tu!

Stock iliyopo: Lita 100 pekee – harakisha kabla haijaisha!

Mahali:Simiyu (Bariadi)
Wasiliana sasa:0759 756 948
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom