asali mbichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Honeybees

    JamiiForums Tanzania Tunauza Asali Mbichi

    Habarini wakuu, Tunauza asali mbichi kutoka Tabora na Dodoma. Ni pure na filtered. Bei zetu ni rafiki: Nusu lita: 7,000/= Lita 1: 13,000/= Lita 5: 60,000/= Pia unaweza pata lita 20 na kuendelea kwa bei nafuu sana. Free delivery kwa wakazi wa Dar. Karibuni sana. Mawasiliano: +255 744 059782
  2. IREPAS AGRICULTURAL CO

    JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina bakteria wazuri (probiotics kwa kiasi): Husaidia usawa wa bakteria kwenye mfumo wa chakula. Ina...
  3. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi ya nyuki wakubwa – 100% natural

    Unatafuta asali halisi yenye nguvu za kiafya na ladha tamu ya asili? Hii ndiyo fursa yako! Asali Mbichi ya Nyuki Wakubwa Haina uchakachuaji – ni mbichi na safi moja kwa moja kutoka shambani. Faida lukuki kwa afya: huimarisha kinga, kuongeza nguvu mwilini, na kusaidia mmeng’enyo. Ladha ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza asali mbichi

    Napatikana sinza nauza asali mbichi toka inyonga mpanda, lita moja 15000, lita 5 kwa 65000, lita 20 kwa 250000. NB: Kuonja na kutest haijachakachuliwa ipo pia. Mawasiliano ni 0781235918/0743849655.
Back
Top Bottom