Chovya njiti ya kiberiti ndani yake alafu chomoa washa ikiwaka ujaue safi ikilowana ujue feki hyo pili tafuta glasi nyeupe weka maji kisha mimina asali itashuka chini aitojichanganya na maji ikijichanganya ujue feki au imwage chini kidogo itajiviringisha kama gololi
Wallet ukitaka kuijua asali mbichi ambayo haijachanganywa chukua karatasi nyeupe size ya A4 mwaga asli juu yake kama kijiko kimoja au viwili vya chakula kaa muda wa dakika mbili.
Kama iyo karatasi haijaloana kwa chini basi hiyo asali ni mbichi.
Njia nyengine ni kutumia njiti ya kiberiti iloweke kwenye asali alafu chukua hiyo njiti uwashe kwa kutumia kiberiti kama kitawaka basi hiyo ni asali mbichi.
Natumai naaweza kuwa nimesaidia kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.