Habari za kazi wana bodi,
Napenda kuwapa habari njema kwa wale wote ambao hawapendi ama hawawezi kutumia sukari
Kuwa asali mbichi na original kutoka Tabora, inapatakina katika kiwango cha hali ya juu.
Ukiagiza asali kutoka kwangu unaletewa hadi mlangoni kwako kwa wale walio maeneo ya mjini Dar es salaam
kwa gharama zifuatazo
5 ltr = 50,000/=
1 ltr = 1.5kg = 12,500/=
1/4 ltr = 4,000/=
Duka liko gerezani railways.
Au piga 0713338342 uletewe mzigo.