Asali mbichi inauzwa

Asali mbichi inauzwa

JIWE2

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
125
Reaction score
18
Napenda kuwajulisha kwamba asali mbichi kutoka mkoa wa Katavi inapatikana kwa wingi, bei ni Tsh 200,000/- kwa lita 20. Inauzwa kwa jumla na bei inazungumzika. Kwa anayehitaji tafadhali ni-pm.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom