Asali inapatikana

Asali inapatikana

belu

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
53
Reaction score
9
habari zenu wapendwa
nauza Asali mbichi ya nyuki Wa kubwa kutoka Mkoa Wa katavi.ni nzuri na haijachakachuliwa..Lita moja ni tsh 12,000 na ml 350 ni tsh 5,000
tuwasiliane kwa 0718632033.... nakuletea popote ndani ya dar
asanten
 
.mkuu unaposema asali nzuri unamaanisha nini? Hilo ndilo unatakiwa uliseme ili sisi walaji tulitolee uamuzi. Mfano, inakiasi gani cha maji, moshi, aina ya miti ya maua nyuki walikochukua chamvua. Je, maeneo hayo yako umbali gani na shughuli za kilimo kama tumbaku nk. nk. Kwa uchache tu. Hata hivyo ninakutakia soko jema lenye mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom