Asali inapatikana

Asali inapatikana

manyusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
292
Reaction score
170
Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi
 
Yusuph unapatikana wapi?
Hiyo asali unauza bei gani Yusuph?

Usiwe kama mwenzio Yahaya mpaka leo hajulikani anaishi wapi...
 
watu wengne bwana hawajui biashara yan wanataka wauliiizwe ndio waweke bei.weka bei na mahal ulpo bwana.
 
hakuna kinakera kama mtu kuweka tangazo halafu namba haipatikani.

Habari wana jamii kwa wanaohitaji asali ya Tabora wasiliana na Yusuph 0787115911 inapatikana kwa wingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom