M Maroune Member Joined Mar 20, 2011 Posts 34 Reaction score 7 Jul 17, 2012 #1 ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jul 17, 2012 #2 Mmmh hivi asali ni dawa tena? Inatibu nini? Au chakula?!
SnowBall JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,052 Reaction score 2,846 Jul 17, 2012 #3 Maroune said: ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu Click to expand... Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM?
Maroune said: ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu Click to expand... Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM?
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 848 Jul 17, 2012 #4 asali toka wapi? bei gani? tuwasiliane vipi wasio jf je? uko wapi? mbichi? n yuki wadogo wakubwa?
M Maroune Member Joined Mar 20, 2011 Posts 34 Reaction score 7 Jul 17, 2012 Thread starter #5 SnowBall said: Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM? Click to expand... si ya kuchemshwa, ni ya tabora mkuu na nyngne ni ya bukoba, vpmo ni kuanzia nusu lita na lita moja, bei ni elfu tano kwa elfu kumi
SnowBall said: Kitu cha wapi mkuu??..na ipi iliyochemshwa ama?..hebu funguka zaidi..au mpaka wakuPM? Click to expand... si ya kuchemshwa, ni ya tabora mkuu na nyngne ni ya bukoba, vpmo ni kuanzia nusu lita na lita moja, bei ni elfu tano kwa elfu kumi