Arushaone ndani ya nyumba.

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
1,655
Reaction score
746
Baada ya kuahidi kukaa mbali na mali za watu, hatimaye nimeamua kumsamehe dogo Arushaone na kumruhusu kurudi ndani ya mjengo wa JeiEfu.
Karibu tena dogo ila kaa mbali na mali za watu.
 
Natafuta thread ya ku-log in..................... nikiipata atatoa utetezi wake hahaaaaaaa
 
Baada ya kuahidi kukaa mbali na mali za watu, hatimaye nimeamua kumsamehe dogo Arushaone na kumruhusu kurudi ndani ya mjengo wa JeiEfu.
Karibu tena dogo ila kaa mbali na mali za watu.

Duh!! kazi kweli kweli.
 
kwani ulimfanya nini? au ulimwekea chilli machoni akawa haoni "kibodi"
 
We dogo Arushaone njoo huku watu wanataka kukuona hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…