Arusha: Zaidi ya bilioni 4 zakusanywa na kikosi cha usalama barabarani, kwa makosoa mbalimbali

hivi ni kikosi cha usalama bararani au kikosi cha kukusanya mapato barabarani!!!
I wonder why ajali haziishi, trafiki wako busy kukusanya mapato kuliko kuimarisha na kusimamia usalama barabarani.
[HASHTAG]#BringBackOurBenAlive[/HASHTAG]
 
Napata hasira pale napowaona hao makamanda wakitangaza hayo mapato kwa mbwembwe na sura zenye bashasha na tabasamu kama vile wamelikamata jambazi sugu kumbe wamemkamua mwananchi aliyelipa ushuru na kodi za mafuta,vat,paye,reli,ewura,umeme wa vijijini,bima ya afya,deni la bodi ya mikopo,vyama vya wafanyakazi,pspf,lapf n.k
 
Back
Top Bottom